Mwaka wangu - Harmonize - Cus Lyrics -->

Mwaka wangu - Harmonize


Mwaka wangu Lyrics


Yaw yaw
Jeshii
Lalalilaa mmh lalalaa
Chiiii
Eeh
Ni mwaka mpya mambo mapya sina dhambi nimetubu
Na pesa ntazichanga change nizijaze kwa kibubuu
Japo hata kakibanda nikajenge huko pugu
Maana nyumba za kupanga nishazichoka vurugu
Eti kwani wao waweze wana nini
(Mmmh)
na mimi nishindwe nina nini
Nishachoka siku zote kuwa wa chini
wengine wanakula kipupwe ma ofisini
Mliosema haolewi olewi mbona kaolewa
mliosema hapewi hapewi mbona amepewa

mwaka huu ni wangu kutimiza ndoto zangu
nasema mwaka huu ni wangu kwa baraka za mungu wangu
(dear lord)
Hakuna mungu kama wewe babaa
(Eeeeeeh hakuna)
Kama wewe yawee
(Eeh hakuna)
Hakuna mungu kama wewe babaa
(Eeeeeeh hakuna)
Kama wewe yawee
(Eeh hakuna)

Huu mwaka nakusanya mavumba ninunue gari yangu
Na wale waliosema mimi ni mguma waje wamuone mwanangu
Huu mwaka marafiki wasio na faida nawaweka pembeni
Wanaokufata wakati wa shida ili wapate hafueni
Niwaonyeshe walionidharau kama mungu anaweza
Nami nipande dau niwasalimu kingereza
When God say yes nobody can say no
(When God say yes nobody can say no)
When God say yes nobody can say no
(When God say yes nobody can say no)
Mliosema haolewi olewi mbona kaolewa
mliosema hapewi hapewi mbona amepewa

mwaka huu ni wangu kutimiza ndoto zangu
nasema mwaka huu ni wangu kwa baraka za mungu wangu
(dear lord)
Hakuna mungu kama wewe babaa
(Eeeeeeh hakuna)
Kama wewe yawee
(Eeh hakuna)
Hakuna mungu kama wewe babaa
(Eeeeeeh hakuna)
Kama wewe yawee
(Eeh hakuna

Song : Mwaka Wangu
Singer : Harmonize
Music : Harmonize
Lyrics : Harmonize
Release Date : 23rd January, 2022
Language : African (Kenya) | Motivational
Label : Harmonize